Zanzibar Trips
Hii ni group mahsusi kwa ajili ya wapenzi wa utalii na wenye nia ya kusafi... ⇢
ri katika maeneo mbalimbali ya utalii na mazingira ya uhifadhi wa asili ndani ya Tanzania.
Ikiwa na lengo la kujifunza, kujifurahisha, kuongeza upendo baina ya wasafiri na kuwafanya kuwa familia 1, kuongeza uzoefu wa kazi za utalii na kujitengenezea group hili tunajadili juu ya
- Kutoa maoni, mapendekezo, ombi na ushauri juu ya safari inayopendekezwa.
- Kutoa maoni yako na kupendekeza maeneo mazuri ya kutembelea.
- Ku
Sheria za group hili ni pamoja na
- Kuonyesha heshima kwa wanachama wote kwa kuzingatia lugha na mienendo inayofaa.
- Kutoa mawazo na maoni yaliyo na ujenzi kwa ajili ya group na kuzuia mabishano yasiyo na maana.
- Kutobadilisha mada za group isipokuwa kama kuna idhini kutoka kwa waandishi wa group.
- Kuzingatia maadili ya utalii wa mazingira na kuheshimu malengo ya group.
- Hairuhusiwi kutuma mambo yaliyokuwa ni nje ya lengo la group hii.
Karibu katika kikundi chetu pendwa, tunatarajia kushirikiana na kuendeleza utalii wetu wa ndani na kukuza Familia yetu ya ni wa familia ndugu tusiofanana lakini tuna upendo Family-