Volver / Back   BACK

Whatsapp Zanzibar Trips

14 12
    This group has 61 views
Hii ni group mahsusi kwa ajili ya wapenzi wa utalii na wenye nia ya kusafiri katika maeneo mbalimbali ya utalii na mazingira ya uhifadhi wa asili ndani ya Tanzania.

Ikiwa na lengo la kujifunza, kujifurahisha, kuongeza upendo baina ya wasafiri na kuwafanya kuwa familia 1, kuongeza uzoefu wa kazi za utalii na kujitengenezea networking.

Katika group hili tunajadili juu ya
- Kutoa maoni, mapendekezo, ombi na ushauri juu ya safari inayopendekezwa.
- Kutoa maoni yako na kupendekeza maeneo mazuri ya kutembelea.
- Ku
Sheria za group hili ni pamoja na
- Kuonyesha heshima kwa wanachama wote kwa kuzingatia lugha na mienendo inayofaa.
- Kutoa mawazo na maoni yaliyo na ujenzi kwa ajili ya group na kuzuia mabishano yasiyo na maana.
- Kutobadilisha mada za group isipokuwa kama kuna idhini kutoka kwa waandishi wa group.
- Kuzingatia maadili ya utalii wa mazingira na kuheshimu malengo ya group.
- Hairuhusiwi kutuma mambo yaliyokuwa ni nje ya lengo la group hii.

Karibu katika kikundi chetu pendwa, tunatarajia kushirikiana na kuendeleza utalii wetu wa ndani na kukuza Familia yetu ya wasafiri.✈🚤🚄🚍

Sisi ni wa familia 👨‍👩‍👧‍👦1👩‍👦‍👦Ni ndugu tusiofanana lakini tuna upendo usiokwisha❤

-Eco-tour Family-

We recommend that you do not share any private data within the group.19907. Enjoy the group and please only share legal content. Enjoy your group .
Report      
WhatsApp groups   Travel

Group for people worldwide World

WhatsApp groups   TZ Zanzibar

Share this group

      Whatsapp    Gmail   Reddit   Telegram   Linkedin  



GROUP MANAGEMENT 💠 Log in   Sign up
   @ Subscribe to the Newsletter (Subscribe)
Neargroups is a directory of group listings for whatsapp and has no affiliation with whatsapp Inc., the owner of the app. whatsapp. Neargroups is not responsible for conversations, contacts, or the accuracy of the groups advertised on our website, as these interactions take place outside of our platform.






You have already voted for this group.